1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, unaweza kukodisha mpenzi?

Bruce Alakonya14 Januari 2022

Wakati unaposafiri kwenda kuwatembelea jamaa zako, au kuhudhuria mikusanyiko ya kijami, kuna swali ambalo wengi huomba sana wasiulizwe. Unaoa lini au unaolewa lini? Ni kutokana na hali hiyo ambapo vijana wanalazimika kutafuta mbinu za kupambana na shinikizo hilo angalau kwa kipindi kifupi wakati wakisubiri muda mwafaka wa kuoa au kuolewa. Vijana MchakaMchaka inajadili juu ya wapenzi wa kukodisha.

https://p.dw.com/p/45XFD