1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je Ujerumani itawapokea wapiganaji wa IS walioko Syria?

Oumilkheir Hamidou27 Februari 2019

Shinikizo la rais wa Marekani kuitaka Ujerumani iwarejeshe nyumbani wapiganaji wa kundi la kigaidi linalojiita Dola la kiislam IS waliokwama nchini Syria limezusha mjadala moto Ujerumani. Ujerumani imesema, wapiganaji hao wa kigaidi wataweza kurejeshwa Ujerumani tu ikiwa masharti maalum yatatekelezwa. Oummilkheir anaangazia hayo na mengine mengi kwenye makala Sura ya Ujerumani.

https://p.dw.com/p/3E9hA