1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je Kamala anaweza kumshinda Trump katika uchaguzi 2024?

22 Julai 2024

Chama cha Democratic nchini Marekani kimeanza mbio za kumteua atakayepeperusha bendera ya chama hicho kwenye uchaguzi ujao mwezi Novemba baada ya Rais Joe Biden kujiondoa kwenye kinyang'anyiro hicho. Kamala Harris ndiye aliyependekezwa na Biden kuchukua nafasi yake na baadhi wanasema ana nafasi nzuri ya kumshinda Donald Trump.

https://p.dw.com/p/4ibIF