1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kumbukumbu ya miaka 124 ya kunyongwa kwa Mangi Meli

6 Machi 2024

Jamii ya Wachaga wenyeji wa Moshi Mkoani Kilimanjaro kaskazini mwa Tanzania wamefanya kumbukumbu ya miaka 124 tangu kuuwawa kwa kunyongwa kiongozi wa kimila wa kabila hilo Mangi Meli aliyenyongwa na Wajerumani enzi za ukoloni.

https://p.dw.com/p/4dD8R