1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jürgen Klopp apigiwa upatu kuinoa timu ya taifa ya Ujerumani

Babu Abdalla11 Septemba 2023

Jürgen Klopp, Julian Nagelsmann na Oliver Glasner ndio majina yanayopigiwa upatu kuchukua mikoba ya kuinoa timu ya taifa ya Ujerumani Die Mannschaft baada ya Hansi Flick kufutwa kazi kufuatia kichapo cha mabao 4-1 na Japan mbele ya mashabiki wa nyumbani. Klopp hata hivyo ana mkataba wa kuinoa Liverpool hadi mwaka 2026 na awali, aliwahi kuikataa nafasi ya kuwa kocha wa timu ya taifa Ujerumani.

https://p.dw.com/p/4WD0q