1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

IWEPO AMANI BADALA YA CHUKI:

25 Desemba 2003
https://p.dw.com/p/CFpb

ROMA: Baba Mtakatifu Johannes Paulo wa pili wakati wa misa ya Krismasi usiku wa manane,ametoa muito wa kuwepo amani kote duniani.Akitoa hotuba yake kutoka kanisa la St.Peters,Papa Paulo amesema ulimwenguni kuna mmuagiko mkubwa wa damu na amewasihi waumini wa dini mbali mbali wasite kutumia mabavu na waondoshe chuki.Misa hiyo ilitangazwa moja kwa moja katika takriban nchi 50.