1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaIsrael

Israel kuuzingira Ukanda wa Gaza

9 Oktoba 2023

Wanajeshi wa Israel wamefanya mashambulizi ya anga kwenye eneo linalotawaliwa na kundi la wanamgambo, Hamas katika hatua ya kulipiza kisasi. Aidha serikali ya Israel imewaamuru wanajeshi wake kulizingira eneo la Ukanda wa Gaza Ukanda wa Gaza.

https://p.dw.com/p/4XJCx