1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ijuwe Mahakama ya Haki za Binaadamu ya Umoja wa Afrika

Mohammed Mohammed23 Februari 2016

Rais wa Mahakama ya Haki za Binaadamu ya Umoja wa Afrika, Jaji Augustine Ramadhani, anazungumzia namna mahakama yake inavyofanya kazi, uwezo, mipaka na matazamio yake ya kudumishwa na kulindwa kwa haki za kiraia na kibinaadamu kwenye bara hilo.

https://p.dw.com/p/1I0V9