1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hofu ya vijana kutekwa wakati wa maandamano ya Kenya

9 Julai 2024

Baadhi ya wazazi nchini Kenya hawajawaona watoto wao tangu yafanyike maandamano ya hivi karibuni ya kuipinga serikali. Wana wasiwasi kwamba vijana wao huenda wametekwa kutokana na ushiriki wao katika maandamano hayo.

https://p.dw.com/p/4i1GG