1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Historia ya chama kikongwe Ujerumani SPD

Oumilkheir Hamidou19 Januari 2018

Chama cha SPD kiliandamwa na Wanazi, kilinusurika vita viwili vikuu vya dunia na pia kilimudu kashfa ya upelelezi. Katika makala ya Sura ya Ujerumani, Oumilkheir anaangazia historia ya chama hicho kikongwe nchini Ujerumani

https://p.dw.com/p/2r81G