1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hisani ya Ujerumani kwa watoto wagonjwa wa Kiafghani

16 Mei 2024

Nchini Ujerumani kuna asasi ya hisani iitwayo "Kinder Brauchen Uns" yaan "Watoto wanatuhitaji". Inafanya kazi ya kuwasafirisha watoto wagonjwa kutoka Afghanistan kwenda Ujerumani kupatiwa matibabu ya magonjwa na matatizo mengine makubwa ya kiafya waliyoyapata. Tizama vidio hii.

https://p.dw.com/p/4fwoT