1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ni tete huko Minembwe DRC

30 Novemba 2022

Mapambano makali yameripotiwa usiku wa kuamkia Jumatano Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, kati ya makundi ya Gumino Twirwaneho na Mai-mai wa Biloze Bishambuke katika baadhi ya vijiji vya eneo la Minembwe huko Kivu kusini. Makabiliano hayo yametokea wakati kunafanyika duru ya tatu ya mazungumzo kati ya serikali na makundi ya waasi wa mashariki ya nchi hiyo mjini Nairobi. Msikilize Mitima Delachance.

https://p.dw.com/p/4KHbM