1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Haki za binaadamu na vita dhidi ya corona.

Mohammed Khelef Mohammed / MMT17 Aprili 2020

Kwenye kipindi cha Maoni mbele ya meza ya duara, kikubwa kinachojadiliwa ni dhima ya vyombo vya habari katika suala na vita dhidi ya janga la corona ulimwenguni. Lakini pia mjadala huu utaangazia namna haki za binaadamu zinavyoweza kukiukwa katika vita hivi. Mohammed Khelef anaongoza jopo la wachambuzi kuzungumzia mada hii.

https://p.dw.com/p/3b3d4