1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Guterres akutana na Rais Tshisekedi Kinshasa

2 Septemba 2019

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amekutana na rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi mjini Kinshasa. Guterres amekuwa nchini DRC katika ziara ya siku tatu ambapo pia alitembelea kituo cha matibabu kwa wagonjwa wa mripuko wa Ebola.

https://p.dw.com/p/3OtMK