1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mfanano wa ibada ya funga kati ya Waislamu na Wakristo

Hawa Bihoga
11 Machi 2024

Mfungo wa kidini ni desturi ya kiroho inayowaunganisha Waislamu, Wakristo na imani nyingine nyingi duniani kote. Kufunga kunahusisha kujitafakari, huruma, na kutafuta uhusiano wa kina na Mungu. Kwa hivyo, kuna ufanano gani kati ya mwezi mtukufu wa Waislamu wa Ramadhani na msimu wa Kwaresima wa Ukristo?

https://p.dw.com/p/4dNGu