1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Fahamu undani wa maandamano ya wakulima wa Ujerumani

24 Januari 2024

Hivi karibuni, wakulima nchini wa Ujerumani waliingia mitaani kushinikiza madai kadhaa waliyonayo dhidi ya serikali na maandamano hayo yalizuwia shughuli mbalimbali za kiuchumi na kijamii kwenye baadhi ya miji. Zainab Aziz anakufafanulia undani wa maandamano hayo.

https://p.dw.com/p/4bcXj