1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Fahamu jinsi maji ya ´dripu´ yanavyotumika kama tiba

24 Julai 2023

Maji tiba ambayo kitaalamu ni IV Fluid Therapy huongezwa katika mwili wa binadamu kutokana na sababu mbali mbali ikiwemo kutapika, kuharisha au ajali ya moto huku maji haya yanapoongezwa kwa mgonjwa hutoafutiana kutoka kwa mmoja hadi mwingine. Kurunzi Afya inakupitisha kufahamu utaalamu huo wa kitababu wa maji tiba au ´dripu´

https://p.dw.com/p/4UK1q