1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

EAC yakana kuwabembeleza waasi wa M23

Lubega Emmanuel10 Mei 2023

Katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt Peter Mathuki amekanusha madai kuwa jumuiya hiyo inawabembeleza waasi wa M23 badala ya kuwachukulia hatua stahiki ili kuleta amani mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Kauli hii imefuatia malalamiko ya raia walioko maeneo yanayodhibitiwa na waasi hao, wanaodai kuendelea kutozwa kodi na kundi hilo. Lubega Emmanuel na taarifa zaidi

https://p.dw.com/p/4RAGC