1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC yasitisha biashara kupitia Bunagana

Daniel Gakuba
23 Juni 2022

Gavana wa mkoa wa Kivu Kaskazini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo General Constant Ndima Kongba alipiga marufuku biashara kupitia mji wa Bunagana ulio mikononi mwa waasi wa M23. Gavana huyo alisema azma ya uamuzi huo ni kuwanyima waasi hao kipato cha kodi na alionya atakayekiuka uamuzi huo. Je jumuiya ya wafanyabiashara imeupokea vipi uamuzi huo? Daniel Gakuba amezungumza na Singoma Mwanza.

https://p.dw.com/p/4D7I3