1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC wahoji ukomo wa MONUSCO.

Mitima Delachance19 Septemba 2022

Wakati mkutano wa kilele wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, ukianza mjini New York wanaharakati wa kisiasa na mashirika ya kiraia nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo wanataka Umoja huo kufafanua kuhusu ukomo wa jeshi lake nchini humo, MONUSCO, kwa kuwa tayari limekiri kuzidiwa nguvu na waasi wa M23. Kutoka Bukavu, mwanahabari wetu Mitima Delachance alitutumia taarifa ifuatayo.

https://p.dw.com/p/4H4LZ