1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC: Kuna njama za kuhujumu usalama wa taifa

9 Februari 2022

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, siku nne baada ya kukamatwa kwa Mshauri Maalum wa maswala ya usalama wa Rais Félix Tshisekedi, Ofisi ya Rais imetangaza kwamba kuna ushahidi wa kutosha kwamba kuna njama zinazothibitisha hatua za kuhujumu usalama wa taifa. Isikilize ripoti ya mwandishi wa DW Jean Noël Ba-Mweze kutoka Kinshasa.

https://p.dw.com/p/46jiV