1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Cologne yajinoa kwa msimu mpya

Josephat Charo
31 Mei 2021

Cologne imemtimua mkurugenzi wake mkuu wa michezo baada ya kuponyoka shoka la kushuka daraja. Serna Williams atacheza mechi yake ya kwanza ya usiku katika mashindano ya French Open huku Rodger Federer akirejea.

https://p.dw.com/p/3uEWv