1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mama apoteza mtoto machoni mwake Manyara

Deo Kaji Makomba
6 Desemba 2023

Mkazi wa Hanang, Christina Michael anasema mwanawe amesombwa na tope na kupoteza maisha mbele ya macho yake, akishindwa kumuokoa. Tazama madhila ya mafuriko ya tope ya Hanang, mkoani Manyara Tanzania katika vidio iliyoandaliwa na Deo Kaji Makomba.

https://p.dw.com/p/4ZpQ1