1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chemchem yaleta neema ya maji Nyiragongo nchini Kongo

24 Julai 2023

Wakaazi wa eneo la Nyiragongo huko Kivu Kaskazini wanasema hawajawahi kuwa na chanzo chochote cha maji. Kwa miaka yote hulazimika kusafiri umbali mrefu kutafuta maji au hutumia ubunifu wa pekee wa kupata maji kupitia miti ya migomba. Lakini hivi karibuni kuna ChemChem ya maji imezuka. Wenyeji wanasema ni muujiza. Ruth Alonga anatupitisha kwenye safari ya kuelekea eneo hilo linalofurika watu.

https://p.dw.com/p/4UK7H