1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mtindo wa maishaTanzania

Changamoto za watu wanaoishi na ualbino

13 Juni 2023

Kila ifikapo tarehe 13 Juni kila mwaka, Dunia huadhimisha siku ya uelewa juu ya watu wenye ualbino. Kundi hili hukumbana na changamoto kadha wa kadha katika jamii zao ikiwemo unyanyapaa, kuuawa au kukatwa baadhi ya viungo katika mwili kwa imani potofu. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/4SWvN