1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chadema wazungumzia hali ya kisiasa Tanzania 2021

Florence Majani(HON)29 Desemba 2021

Kamati Kuu ya chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema jana ilifanya kikao chake na kujadili ajenda kuu moja ambayo ni ‘Hali ya Kisiasa nchini humo kwa mwaka 2021’ lakini ajenda hiyo ilibeba hoja nyingine nne. Florence Majani amefanya mahojiano maalum na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema upande wa Tanzania Bara, Singo Benson Kigaila

https://p.dw.com/p/44xa5