1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Burundi kutoshiriki mazungumzo ya amani Arusha

Grace Patricia Kabogo5 Januari 2016

Serikali ya Burundi imesema haitoshiriki katika mazungumzo ya amani yaliyopangwa kufanyika kesho mjini Arusha, Tanzania, kwa madai kwamba haikuafikiana kuhusu tarehe hiyo iliyopangwa. Mchambuzi wa masuala ya kisiasa, Jenerali Ulimwengu, anaeleza vuta nikuvute hii itakapoufikisha mzozo wa Burundi uliodumu kwa miezi kadhaa.

https://p.dw.com/p/1HYH3