1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaGabon

Ali Bongo atoa wito wa usaidizi kutoka kwa marafiki wa Gabon

30 Agosti 2023

Wanajeshi nchini Gabon wamefanya mapinduzi na kutwaa mabadara na kutangaza kuyafuta matokeo ya uchaguzi wa rais na kudai kumshikilia rais Ali Bongo. Jaribio hilo la mapinduzi limefanyika saa chache baada ya tume ya uchaguzi kumtanga rais Ali Bongo Ondimba mwenye umri wa miaka 64 kuwa mshindi wa uchaguzi uliogubikwa na khofu ya kuzuka machafuko.

https://p.dw.com/p/4VlTW