1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Biashara haramu ya madini Afrika ya thamani ya mabilioni

7 Juni 2024

Sehemu ya utajiri wa madini barani Afrika inaporwa - lakini vipi? Uchimbaji madini haramu - biashara haramu ya mabilioni ya dola, na kukaidi mamlaka kutoka Kongo hadi Ghana. Ni nani na ni nini kipo nyuma ya himaya hii hatari na ya siri, na kwa nini haiwezi kusambaratishwa?

https://p.dw.com/p/4gm9o