1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Berlin: Mkutano wa kilele wa sekta ya afya duniani

Sudi Mnette17 Oktoba 2022

Mkutano wa siku tatu wa kilele wa sekta ya afya duniani unaofanyika mjini Berlin, Ujerumani leo hii umeingia siku yake pili. Mkutano huo unahudhuriwa na washiriki zaidi ya 6,000 wakiwemo wanaowasilisha mada 400 kutoka katika mataifa zaidi ya 100 kote ulimwenguni. Sikiliza mahojiano kati ya Sudi Mnette na mkurugenzi anayehusika na huduma za tiba katika wizara ya afya ya Tanzania Dokta Omar Ubuguyu.

https://p.dw.com/p/4IIRA