1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiBrunei Darussalam

Baadhi ya waislamu waswali sala ya Eid Tanzania

28 Juni 2023

Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislam nchini Tanzania leo wameungana na wengine ulimwenguni kusali sala ya Eid Al- adha, baada ya mahujaji huko mjini Makka Saudi Arabia, kukamilisha ibada ya Hija ambayo ni nguzo ya tano katika dini ya Kiislamu. nguzo hii hutekelezwa na wale wenye afya njema na wenye ustawi wa kiuchumi.

https://p.dw.com/p/4TAnL