1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Baadhi ya makundi DRC yapinga kikosi cha jeshi la Afrika Mashariki

23 Juni 2022

Viongozi wa baadhi ya makundi ya wapiganaji mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wametangaza kupinga mpango wa kupelekwa kikosi cha jeshi nchini humo chini ya mwavuli wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Viongozi hao ikiwemo kutoka kundi la wapiganaji la Mai Mai wanapinga mpango huo wakisema utaligawa taifa. isikilize ripoti ya Benjamin Kasembe kutoka Rutshuru.

https://p.dw.com/p/4D7Ig