1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Athari za vita vya Ukraine kwa watumiaji wa ngano Afrika

22 Februari 2023

Licha ya umbali wa kijiografia kati ya afrika, Urusi na Ukraine, vita kati ya nchi hizo mbili imekuwa na athari kubwa kwa watumiaji wa ngano afrika. Wadau wanasema nchi za kiafrika zinapaswa kujifunza kitu na kufanya mabadiliko. Vidio ifuatayo inaeleza madhara hayo ya vita kwa wafanyabiashara wanaotegemea ngano jijini Nairobi. #kurunzi

https://p.dw.com/p/4Npe2