1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Athari za UVIKO 19, vita vya Ukraine, bado gumzo.

Amida Issa19 Septemba 2022

Madhara ya janga la ugonjwa wa UVIKO 19 na athari za vita nchini Ukraine katika nchi za bara la Afrika na za Uarabuni ni maswala yanaojadiliwa katika mkutano wa wakuu wa baraza la seneti kutoka nchi za Afrika na zile za jumuiya ya kiarabu, unaofanyika mjini Bujumbura. Lipi kubwa huko? Msikilize mwenzetu Amida Issa aliyetueleza zaidi.

https://p.dw.com/p/4H4La