1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

"Mgonjwa wa Dusseldorf apona VVU"

23 Februari 2023

Bwana mmoja wa Ujerumani ambae amepachikwa jina la "Mgonjwa wa Dusseldorf" amekuwa mtu wa tatu kutangazwa kuponywa VVU baada ya kufanyiwa upandikizaji wa seli, hatua ambayo pia imetibu saratani yake ya damu.

https://p.dw.com/p/4NsUG