1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiUhispania

Askari wa zima moto wanawake Catalonia

Hawa Bihoga
7 Juni 2023

Hawa ni askari wa kikosi cha zima moto katika jimbo la Catalonia, japo katika idara hiyo wapo wachache lakini wanaamini juu ya mabadiliko yaliofanywa na mamlaka hivi karibuni itawaongeza idadi ya wanawake katika kikosi hicho.

https://p.dw.com/p/4SJP0