1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaAfrika Kusini

ANC yakosa wingi wa kura kuweza kulidhibiti Bunge

7 Juni 2024

Baada ya kuongoza kwa muda wa miaka 30 chama kikongwe kabisa barani Afrika, African National Congress (ANC) cha nchini Afrika Kusini sasa kimejikuta katika mandhari mpya ya kisiasa. Katika uchaguzi mkuu wa wiki iliyopita chama hicho kilishindwa kupata kura za kutosha ili kukiwezesha kulidhibiti bunge. Mtayarishaji ni Zainab Aziz.

https://p.dw.com/p/4gmeZ