1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ajira ya ulezi wa wanyama wa majumbani

24 Januari 2022

Watu hujipatia kipato kupitia kazi kama vile kuwalea Watoto majumbani, lakini sasa mambo yamebadilika, kuna kazi nyingine, na sio kumtunza mtoto, bali ya kumtunza mnyama anayefugwa nyumbani. Nchini Kenya vijana wameanza kuchangamkia fursa hiyo na kuvuna hela kupitia kazi hii inayoendelea kuwa maarufu. Vijana Mchakamchaka inaangazia hilo mtayarishaji ni Bruce Amani

https://p.dw.com/p/461FY