1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afya Yako: Ghana yaazimia kutokomeza Malaria kupitia chanjo

Zainab Aziz23 Machi 2023

Makala ya Afya Yako wiki hii inaangazia juhudi za Ghana katika utoaji wa chanjo ya Malaria ili kuutokomeza ugonjwa huo ambao umekuwa chanzo cha vifo vingi barani Afrika. Mtayarishaji ni Zainab Aziz.

https://p.dw.com/p/4P8FC