1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mtindo wa maisha

Je, ni salama kujamiiana wakati wa ujauzito?

26 Septemba 2024

Je, ni salama ama si salama kwa mama kufanya tendo la ndoa wakati wa ujauzito? Je mtoto aliye tumboni yuko salama kiasi gani? Je anaweza kudhurika kwa namna yoyote? Kuna ukweli gani kuhusu hili? Ungana nasi kwenye makala haya ya Afya Yako, tukizungumzia hili, sambamba na wataalamu.

https://p.dw.com/p/4kswM