1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makala ya Afrika Wiki hii

27 Septemba 2024

Viongozi wa Afrika wahutubia baraza kuu la UN wakisitiza juu ya kufanyika mageuzi katika baraza la usalama la Umoja wa Mataifa na kulipatia kiti cha kudumu bara hilo.Tanzania yakumbwa na maandamano ya kupinga mauaji na utekaji nyara.Jeshi la Sudan laanza operesheni ya kuurejesha udhibiti wa mji mkuu Khartoum unaoshikiliwa na RSF. Jiunge na Saumu Mwasimba katika Afrika Wiki hii.

https://p.dw.com/p/4lBLm