1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afya Yako: Fahamu zaidi kuhusu mbinu ya kupata uzazi ya IVF

Tatu Yahaya22 Juni 2023

In vitro fertelization ni  mchakato wa matibabu ya uzazi ambao hufanyika maabara ambapo mbegu ya mwanaume huunganishwa na yai la mwanamke  ili kupata kiini tete, kitaalamu hujulikana kama embryo.

https://p.dw.com/p/4Sx0U