1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika Wiki Hii

Saumu Yusuf22 Desemba 2023

Wakongomani wasubiri matokeo ya uchaguzi mkuu uliokumbwa na dosari nyingi uliofanyika siku ya Jumatano.Wagombea urais wa Upinzani waikosoa tume ya uchaguzi CENI.Kenya yatiliana saini na Umoja wa Ulaya kuhusu ushirikiano wa kibiashara. Jiunge na Saumu Mwasimba katika matukio ya wiki hii barani Afrika

https://p.dw.com/p/4aVLC