1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika Wiki Hii: Watanzania wamuaga Lowassa

16 Februari 2024

Tanzania yaondokewa na mwanasiasa mkongwe, Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa. Baraza la Katiba nchini Senegal latangaza kuwa hatua ya rais Macky Sall ya kuahirisha uchaguzi imekwenda kinyume na katiba ya nchi hiyo. Kifo cha mwanariadha wa nchini Kenya, Kelvin Kiptum, bingwa wa dunia wa mbio za Marathon kimeacha maumivu na simanzi kubwa kwa ndugu, jamaa na marafiki. Mtayarishaji, Zainab Aziz.

https://p.dw.com/p/4cUlW