1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika Wiki Hii: Ufaransa ingezuwia mauaji ya 1994 Rwanda

5 Aprili 2024

Katika Makala ya Afrika Wiki Hii, rais wa Ufaransa asema taifa lake pamoja na washirika wake wangeweza kukomesha mauaji ya kimbari ya Rwanda lakini ilikosa ari ya kufanya hivyo na nchini Senegal rais mpya Bassirou Diomaye Faye amteua mwanasiasa maarufu wa upinzani Ousmane Sonko kuwa Waziri Mkuu wa taifa hilo. Amina Abubakar atakupasha mengi zaidi katika makala hiyo.

https://p.dw.com/p/4eU7Z