1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika katika magazeti ya Ujerumani

16 Agosti 2024

Maswala na matukio ya Afrika yaliyozingatiwa na magazeti ya Ujerumani wiki hii ni pamoja na hali ya dharura ya afya iliyotangazwa na shirika la Afya Duniani WHO kutokana na mlipuko wa maradhi ya homa ya nyani yanayosababishwa vya virusi vya Mpox. Tunisia imo hatarini kurejea katika enzi za Ben Ali na bondia mwanamke wa Algeria alishtaki jukwaa la X.

https://p.dw.com/p/4jYdj