1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.06.2024 Matangazo ya Mchana

Josephat Charo
29 Juni 2024

Shirika la kimataifa la utetezi wa haki za binaadamu la Human Rights Watch limesema takriban watu 30 walikufa katika maandamano ya kuipinga serikali Kenya. Wairan watalazimika kupiga kura kwa awamu ya marudio Julai 5, baada ya kukosekana kwa mshindi wa moja kwa moja baada ya uchaguzi wa Ijumaa. Shambulizi droni la Ukraine ladaiwa kuwauwa watu 5 eneo la mpakani la Urusi.

https://p.dw.com/p/4hf8M