1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.07.2018: Matangazo ya Asubuhi

28 Julai 2018

Vyama vya kisiasa nchini Zimbabwe Jumamosi hii vinafanya kampeni zao za mwisho kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika siku ya Jumatatu, Mali inafanya uchaguzi mkuu Jumapili hii mnamo wakati rais wa nchi hiyo Ibrahim Boubakar Keita akiwania kuchaguliwa tena na Tanzania itashuhudia tena raia wake kutoka kata 79 na jimbo moja la Buyungu wakirejea kwenye zoezi la kupiga kura.

https://p.dw.com/p/32EEi