Rais Biden na Trump watofautiana vikali kuhusu rekodi zao katika mdahalo wa kabla ya uchaguzi // Mahakama nchini Kenya yaidhinisha kutumiwa jeshi kutuliza ghasia za waandamanaji // Na Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamteuwa Ursula von der Leyen kuongoza kwa muhula wa pili