1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.07.2024 Matangazo ya Mchana

Josephat Charo
27 Julai 2024

Rais wa Marekani azungumza na Mfalme wa Jordan kuhusu vita vya Gaza. Rais wa Ukraine asema kuwa wanajeshi wake wanakabiliwa na wakati mgumu katika uwanja wa vita. Na, jumuiya ya ASEAN yatoa wito wa kuwepo suluhisho la amani kwa mizozo ya Myanmar, Ukraine na Gaza.

https://p.dw.com/p/4iotc